Monday, May 13, 2024

WAKAZI WA MSOMELA HANDENI WANUFAIKA NA ELIMU YA UTUMIAJI WA TAIFA GAS.

Baadhi ya Wakazi wa Msomela Handeni Mkoani Tanga wakipata elimu ya matumizi ya Mitungi ya Taifa Gas kutoka kwa Wataalamu wa Kampuni ya Taifa Gas wakati mafunzo ya nadhalia ya siku tatu yaliyoanza jana na yanatarajiwa kumalizik juamatano.Jumla ya mitungi 1000 ya Taifa Gas inatarajiwa kugawiwa bure kwa wakazi hao katika hafla kubwa itakayofanyika ijumaa mai 17,2024 Msomela Handeni Tanga.





Mafunzo kwa vitendo yakiendelea.
 

No comments:

Post a Comment