Tuesday, May 14, 2024

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHANGANYIKENI.

Shule ya Sekondary Changanyikeni iliyowekewa Jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, Godfrey Mzava


Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akizungumza jambo na wakazi wa Changanyikeni Jimbo la Kawe.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge akizungumza na baadhi ya Wakazi wa Changanyikeni jimbo la Kawe.



Uwekaji wa Jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024,Godfrey Mzava(kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Gwajima

 

No comments:

Post a Comment