Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe. Saad Mtambule akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni akiwa na baadhi ya Wadau wakati wakisubiri Mwenge wa Uhuru kuwasili kutoka Kigamboni
Meya wa Manispaa ya Kinondoni kwenye Picha ya Pamoja na Wadau kabla ya Mwenge kuwasili
Mwenge wa Uhuru ukiwasili kutoka Kigamboni
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni akisoma taarifa yake ya Kigamboni kabla ya kukabidhi Mwenge wa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, Godfrey Mzava akiaga rasmi Kigamboni na Kukabidhi Mwenge wa UhuruWilaya ya Kinondoni
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, Godfrey Mzava akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe.Saad Mtambule
Makabidhiano na Mwenge wa Uhuru Kigamboni kwenda Kinondoni
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe.Songoro Mnyonge na Mwenge wa Uhuru 2024.
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2024, Godfrey Mzava akipanda mti katika Shule ya Msingi Kigogo.
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2024, Godfrey Mzava akipanda mti katika Shule ya Msingi Kigogo.Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abas Trimba na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abas Tarimba akipanda mti katika Shule ya Msingi Kigogo
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 katika Halimashauri ya Wilaya ya Kinondoni
No comments:
Post a Comment