Thursday, May 16, 2024

TAIFA GAS YAMWAGA MITUNGI 300 YA GAS WILANI HANDENI MJINI.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas  Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

 

TAIFA GAS WAMWAGA  MITUNGI 300 KWA WAKAZI WA HANDENI MJINI

KAMPUNI ya Taifa Gas leo imegawa 0bure mitungi ya Gas na Gas yake ndani kwa waka000zi a Handeni mjini katika kuunga mkono Kampeni ya Mheshimia Rais a Jamhuri ya Muungano a Tanzania ya kumshusha mzigo a kuni manamke pamoja na kutunza mazingira kwa kutumia nishati safi ya Gas.Akikabidhi mitungi hiyo kwa wakazi wa handeni mjini Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando kanza aliishukuru Kampuni ya Taifa Gas ka kuanza Kampeni hii na Handeni  na kuaomba ahakikishe anaashibisha anahandeni ndipo waelekee sehemu zingine hivyo watawafanya kuwa mabalozi wazuri wa Taifa Gas.

Msando alisema handeni ni kubwa sana na inawakazi wengi sana hivyo mitungi 300 haiwezi kutosha wakazi wote na badala yake alielekeza mitungi hiyo wapewe mabalozi ambao ni wawakilishi wa wananchi wakawe mabalozi wazuri kwa wananchi wao.

Miongoni mwa walionufaika na mitungi hiyo ya Taifa Gas ni pamoja na Madawani wa kata zote za handeni, Viongozi wa kitini, viongozi wa vyama vya siasa, Makatibu Tarafa, Viongozi wa Serikali za mitaa, Vikundi vya Wajasiliamali pamoja na Vikundi vya Wamama Lishe.

 

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Kiongozi wa Wakina Mama Wajasiliamali Wilaya ya Handeni, Mwajabu Mhina  wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas  Mama lishe, Bahati Shahiri  wa Soko kuu la Handeni wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300ya Taifa Gas Bure  kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas  Afisa Tarafa wa kwa Msisi, Lugaila Ngwabi wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas  Afisa Tarafa wa Mzundu, Elizabeth Mponda wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(katikati) akikata utepe kama ishaar ya uzinduzi wa Duka la Taifa Gas Wilayani Handeni  wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.


Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando azungumza na  baadhi ya wakazi wa Handeni mjini(hawapo pichani)  wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.

Wakazi wa Wilaya ya Handeni wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(hayupo pichani) )  wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.


Meneja mahusiano wa Taifa Gas, Angela Bhoke azungumza na  baadhi ya wakazi wa Handeni mjini(hawapo pichani)  wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.

Mkuu wa Wilaya akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakazi wa handeni waliopata mitungi ya Taifa Gas bure.Jumla ya mitungi 200 imegawiwa bure kwa wakazi wa handeni mjini.

Wakina Mama Lishe wa Soko Kuu la Wilaya ya Handeni Mjini wakifurahia Majiko ya Taifa Gas mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni , Wakili Albart Msando. Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya


 

Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mjini wakikabidhiwa mitungi ya Taifa Ges bure kwa utaratibu maalum ulivyopangwa.

Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mjini wakikabidhiwa mitungi ya Taifa Ges bure kwa utaratibu maalum ulivyopangwa.

No comments:

Post a Comment