Monday, May 13, 2024

UWEKAJI JIWE LA MSINGI KATIKA DUKA LA DAWA ZA BINADAMU LA LUFUNGILA SINZA KINONDONI NA MWENGE WA UHURU 2024.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, Godfrey Mzava akiweka jiwe la Msingi katika Duka la Dawa za Binadamu Sinza Kinondoni jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni akizungumza jambo kwa Wakazi wa Kinondoni wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi katika Duka la Lufungila Sinza Kinondoni jijini Dar es Salaam









 

No comments:

Post a Comment