Monday, May 13, 2024

UZINDUZI NA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA KINONDONI SHAMBA NA MWENGE WA UHURU 2024..

Jengo la Kituo cha Afya Kinondoni lililozinduliwa na kuwekewa jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, Godfrey Mzava












 Jiwe la Msingi likiashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, Godfrey Mzava.

No comments:

Post a Comment