Tuesday, May 14, 2024

RISARA YA UTII,HOTUBA ZA VIONGOZI NA MAANDALIZI YA MKESHA BUNJU HALIMASHAURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad akizungumza na baadhi ya Wananchi waliojitokeza Uwanja wa Mkesha Bunju.
Jukwaa la Mkesha wa Mwenge wa Uhuru 2024 Wilayani Kinondoni

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Abas Tarimba akizungumza na Wakazi wa Kinondoni waliojitokeza eneo la ,Mkesha
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akizungumza na Wakazi wa Kinondoni waliojitokeza eneo la ,Mkesha


















Risala ya Utii ikisomwa kwa Mhe.Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Dr.Samia Suluhu Hassan








Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akikabidhi Risala ya Utii kwa Mhe.Rais kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024.




 Kiongozi wa Mbio za Mwenge akipokea Rsala ya Utii kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

No comments:

Post a Comment