Friday, May 17, 2024

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, JUDITH KAPINGA AGAWA BURE MITUNGI YA TAIFA GAS 1500 KATIKA KIJIJI CHA MSOMELA WILAYANI HANDENI TANGA


Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na Wananchi wa Msomela Wilayani Handeni(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 1500 ya Taifa Gas bure kwa Wananchi hao ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.Hafla hiyo ilifanyika katika Kijiji cha Msomela Wilayani Handeni Tanga.

 

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, JUDITH KAPINGA AGAWA BURE MITUNGI YA TAIFA GAS 1500 KATIKA KIJIJI CHA MSOMELA WILAYANI HANDENI TANGA

Na Mwandishi Wetu.

NAIBU Waziri wa Nishari, Judith Kapinga leo amegawa mitun gi ya Gas ikiwa na Gas ndani 1500 kwa Wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilani Handeni iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas ikiwa ni kuunga mkono Kampeni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Samia Suluhu Hassani ya kumtua mzigo wa kuni Mama kwa kutumia nishati ya Taifa Gas na kuhifadhi Mazingira.

Akishukuru msaada huo Waziri wa Nishati Kapinga alisema Taifa Gas mlichokifanya hapa Msomela ni kupanda mbegu ya Mabalozi wa kudumu ambao watakuwa na wataendelea kuwa watehja wenu Daima.

Alisema Kapinga imarisheni huduma hii hapa Msomela na jirani kuzunguka Msomela ili Wananchi hawa Gas ikiisha wasipate tabu mahala pa kwenda kubadilisha.

Nae Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius alisema timu yake tayari imeshafanya mchakato wa kuwa na mawakala hapo Msomela tena Wazawa, hivyo Wakazi wa Msomela wasiwe na wasiwasi Gas ikiwaishia wataipata Msomela na wale ambao hawajabahatika kupata mitungi ya Taifa Gas tayari ipo itakuwa inauzwa kwa bei nafuu.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando aliwashukuru pia Taifa Gas kwa msaada mkubwa kwa Wananchi wake wa Msomela na aliendelea kuwaomba kuwa wananchi wake ni wengi hapa watapata nusu yao tu na nusu bado hivyo wakipata nafasi tena wasiwasahau Wananchi wa Msomela waliokosa.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(wa pili kulia) wakikabidhiwa Mtungi wa Taifa Gas na Wafanyakazi wa Taifa Gas kwa niaba ya mingine 1499 jumla 1500 tayari kwa kuwaklabidhi wakazi wa Msomela bure wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Msomela leo, ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akihakiki moja ya mitungi ya Taifa Gas kama inafanya kazi kwa kuuwasha wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya Taifa Gas 150 kwa wakazi wa Msomela Wilayani Handeni leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto ni Meneja mauzo wa Taifa Gas Kanda, Ombeni Swai,Mwenyekiti wa Kijiji cha Msomela, Thomas Sindilo na   Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Kiongozi wa kimila wa Kabila la Kimasai(Lagwanani)Komba Riko wakati wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 150 ya Taifa Gas  bure kwa Wananchi wa Kijiji cha Msomela ilifanyika leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto kwa Waziri ni, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando na Mwenyekiti wa Kijiji, Thomas Sindilo.Hii ni ni kuunga mkono Kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Kiongozi wa kimila wa Kabila la Kimasai(Lagwanani)Yamati Langoi wakati wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 150 ya Taifa Gas  bure kwa Wananchi wa Kijiji cha Msomela ilifanyika leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto kwa Waziri ni, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando na Mwenyekiti wa Kijiji, Thomas Sindilo.Hii ni ni kuunga mkono Kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Kiongozi wa kimila wa Kabila la Kimasai(Lagwanani)Sayanga Karai wakati wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 150 ya Taifa Gas  bure kwa Wananchi wa Kijiji cha Msomela ilifanyika leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto kwa Waziri ni, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando na Mwenyekiti wa Kijiji, Thomas Sindilo.Hii ni ni kuunga mkono Kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Mchungaji Maria Aloyce wakati wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 150 ya Taifa Gas  bure kwa Wananchi wa Kijiji cha Msomela ilifanyika leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto kwa Waziri ni, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando na Mwenyekiti wa Kijiji, Thomas Sindilo.Hii ni ni kuunga mkono Kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(wa pili kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Askofu wa Kanisa la FPCT, Jackson Kipuyo wakati wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 150 ya Taifa Gas  bure kwa Wananchi wa Kijiji cha Msomela ilifanyika leo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Taifa Gas, Davis Deogratius na kutoka kushoto kwa Waziri ni, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando na Mwenyekiti wa Kijiji, Thomas Sindilo.Hii ni ni kuunga mkono Kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama mzigo wa kuni na kutumia nishati safi ya Taifa Gas pamoja na kuhifadhi mazingira.



 

Wananchi wa Msomela wakimsikiliya Naibu Wayiri wa Nishati, Judith Kapinga

Picha za Pamoja, Wayiri wa Nishati, Judith Kapinga, Mkuu wa Wilaza za Handeni, Wakili Albart Msando na Wafanzakayi wa Taifa Gas