Sunday, June 5, 2011

EXTRA BONGO NDANI YA UKUMBI WA STEREO KINONDONI LEO



BENDI ya extra Bongo next Level leo watatoa buruudani ndani ya Ukumbi wa Stereo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Baada ya kukonga nyoyo za wapenzi na mashabiki wa Sinza kwenye Ukumbi wa Meeda ikiwa na wataalamu wa kanga moja leo wanaelekea pale Kinondoni.

Akizungumza na mtandao huuu Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo , Ally Chocky aliwataka wapenzi na mashabiki wafike kujionea wenyewe mambo mapya ya Bendi yao yakiwa na mwimbaji mpya wa Bendi hiyo ,Banza Stone ambaye atatam,bulisha wimbo wake mpya wa Falsafa ya Maisha

Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi hiyo, Super Nyamwela aliwataka wapenzi wa Kinondoni wasisubili kusimuliwa wakaribie Kinondoni Stereo wajionee wenyewe mamabo mapya kabisa

Sunday, April 17, 2011

MKURUGENZI WA BENDI YA EXTRA BONGO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI .

Mkurugenzi wa Bendi ya muziki wa Dance ya Extra Bongo, Ally Chocky akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya Bendi jijini Dar es Salaam
Akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo hayo.